Njia Asilia, Salama, ya Haraka na ya Uhakika Zaidi ya Kuondoa Uvimbe wa Tezi Dume Na Usijirudie tena, Hata Kama Umeshawahi Kufanyiwa Upasuaji
Mpendwa Msomaji,
Kama unataka kupona uvimbe wa TEZI DUME bila kufanyiwa UPASUAJI….
Hata kama umeshawahi kufanyiwa upasuaji zaidi ya mara moja.
Unataka uanze kukojoa mkojo unaoisha bila maumivu (matone matone)
Hufurahii aibu ya kushindwa kudhibiti haja ndogo, kwenda chooni mara nyingi, au kujikuta ukivuja mkojo kidogo….
Unataka ulale usingizi mrefu wa amani usiku bila kuamka mara 3 hadi 5 kwenda chooni….
Unatamani familia iendelee kukuheshimu na kukuona kama nguzo , siyo mtu dhaifu anayehitaji msaada muda wote….
Na hatimaye kuamka kila siku bila mawazo ya “huenda ni saratani.” Pamoja na kuwa na uhakika kuwa hali yako si tishio la maisha…..
Basi soma andiko hili hadi mwisho kwasababu………
Unaelekea kuifahamu njia salama na ya kudumu ya kuyeyusha kabisa uvimbe wa tezi dume na kuweza kurudi katika hali ya kawaida kama kijana wa miaka 25
Naitwa Lilian Chami mtaalamu wa maswala ya lishe. Najua ni kwa jinsi gani uvimbe wa TEZI DUME unakukosesha amani kwasababu katika familia yangu walikuwepo watu wenye tatizo kama lako, nikaweza kuwasaidia.
Leo nitapenda kukupa story fupi ya mjomba wangu. Huyu ni Favourite Uncle
Mjomba wangu alikuwa mtu mchangamfu na mcheshi sana. Lakini kadri miaka ilivyoongezeka, alianza kupitia changamoto ambazo alijua huenda tatizo la tezi dume limeanza. Alikuwa anaamka mara nne au tano kila usiku kwenda chooni. Siku nyingine alilalamika kwamba anajihisi kibofu hakijamalizika, hata baada ya kukojoa. Mara nyingine alianza kushindwa kuanza mkojo, akihangaika muda mrefu chooni.
Lakini mambo yalipozidi, usingizi wake ukawa wa tabu, alianza kuchoka, na hata akaanza kuwa na msongo wa mawazo kwa sababu kila mara alikuwa na hofu ya kushindwa kujizuia akiwa kwenye mikutano au safari.
Nilipozungumza naye, alinieleza kwamba daktari alimshauri dawa za hospitali, lakini kwa sababu tayari alikuwa na dawa nyingi za presha na kisukari, hakuwa na hamu ya kuongeza dawa nyingine. Ndipo nilimshauri ajaribu virutubisho lishe ambavyo vinasaidia kuondoa uvimbe wa za tezi dume kwa njia ya asili, virutubisho ambavyo nilikua nimeanza kuviuza.
Kama ilivyokawaida kwa wazee wengi, alijaribu kutumia mitishamba mbali mbali kwaajili ya tatizo lake. Baada ya kama mwezi mmoja aliona nafuu. Alienda hospitali kwaajili ya kupata vipimo ili kupata uhakika zaidi kuhusu hali yake kiafya.
Baada ya vipimo pamoja na kwamba tayari alikuwa anajisikia vizuri, tatizo lilionekana kuwa kubwa zaidi. Na ikawa wazi kwamba alihitaji suluhisho tofauti.
Mara nyingi hakupenda matumizi ya dawa au chochote kilichoonekana kama dawa, isipokuwa pale ilipobidi ndipo alitumia.
Mjomba alipenda kusoma soma kwenye mitandao kuona namna za asili za kuweza kutatua tatizo lake. Akaanza kuongeza mbegu za maboga kwenye chakula chake lakini aligundua ili kupata mabadiliko makubwa alihitaji kupata virutubisho vya kwenye mbegu za maboga pamoja na virutubisho vingine kwa wingi zaidi. Hapa aliniomba nimpe elimu zaidi kuhusu virutubisho vyangu.
Tulianza na virutubisho vya mimea vilivyokuwa na mchanganyiko wa mimea tofauti tofauti, ambavyo tamaduni nyingi za kale zimetumia kwa afya ya mkojo wa wanaume. Na kwasababu alikua na changamoto ya presha na sukari nilimuongezea virutubisho kwaajili ya kudhibiti changamoto hizo mbili vikiwemo vya kuondosha sumu mwilini. Tuliamua kuangalia kwa wiki chache kama kuna tofauti.
Baada ya kama wiki mbili tu, mjomba alianza kulala vizuri usiku , aliamka mara moja tu. Na baada ya hapo alianza kukojoa bila ile hisia ya kubaki na mkojo.
Kadri miezi ilivyoendelea, dalili zilipungua zaidi. Hakika haikuwa miujiza ya siku moja, lakini tuliona hatua kwa hatua: usingizi bora, nguvu za mwili kurudi, na hata hali ya akili kuboreka. Sasa aliamini kwamba inawezekana kuishi vizuri bila mateso ya kila siku. Mjomba alianza kuwa mcheshi tena.
Mwaka mmoja umepita sasa anaendelea vyema na anasema anaishi kama kijana sasa. Vipimo vimeweza kumhakikishia hilo kwamba tezi dume halina uvimbe, wala maambukizi wala kansa.
Mjomba ananiita BINGWA sasa, amenitambulisha kwa rafiki yake mwenye changamoto kama yake ambaye tayari ana maendeleo mazuri.
Pengine sasa unatamani kujua ni virutubisho gani mjomba pamoja na rafiki yake walivitumia vikawasaidia kuondokana na changamoto hii ya kuvimba kwa tezi dume
Usijali ndani ya dakika 2 zijazo nitakwambia walitumia nini lakini kwanza unatakiwa ujue kwamba….
Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba: Kila mwanaume anapofikisha miaka fulani katika maisha yake, kuna uwezekano mkubwa wa kuathiriwa na tatizo la kuvimba kwa tezi dume. Asilimia 50% ya wanaume wenye umri wa miaka 50, asilimia 60% ya wenye miaka 60, asilimia 70% ya wenye miaka 70 na kuendelea hivyo, watakuwa na tezi dume lililovimba
Kuna ambao uvimbe huo haujaanza kuwaletea shida na wengine wameshaanza kupata shida na uvimbe huu.
Kwahivyo kama haujaanza kupata shida yoyote kwenye swala la ukojoaji tambua kwamba uvimbe wa tezi dume upo lakini bado haujaanza kukuletea shida. Hakuna anayefahamu ni lini utaanza kukuletea shida kutokana na factors nyingi zinazoweza kuchangia ikiwemo mtindo wa maisha unaoishi kwa sasa na athari nyingine zitokanazo na maradhi uliyonayo kwa sasa.
Jambo lingine la muhimu sana ambalo wengi hawafahamu ni kwamba dalili kuwa kali haitokani na uvimbe kuwa mkubwa. Kuna watu wana uvimbe mdogo na dalili zake ni kali sana, wakati wengine wana uvimbe mkubwa na dalili zake ni za kawaida. Miili inatofautiana, hivyo ukubwa wa uvimbe sio kigezo cha kupata maumivu makali.
Dalili kuwa kali au kutokuwa kali inaweza kutokana na.......
Eneo Uvimbe Ulipo. Tezi dume inazunguka mrija wa mkojo (urethra). Ikiwa sehemu ya tezi inayovimba ipo karibu na mrija wa mkojo, hata uvimbe mdogo tu unaweza kuminya mrija na kusababisha dalili kali kama: kukojoa mara kwa mara, mkojo kutoka kwa shida, hisia ya kibofu kutokukamilika, au maumivu. Lakini kama uvimbe uko sehemu ya nje zaidi ya tezi dume, unaweza kuwa mkubwa lakini usibane mrija wa mkojo, hivyo dalili ni chache.
Mwitikio wa Mwili (Sensitivity ya Kibofu). Watu hutofautiana katika hisia za kibofu na mrija wa mkojo. Kibofu cha baadhi ya watu ni nyeti sana, hivyo mabadiliko madogo tu katika mtiririko wa mkojo huleta maumivu au msukumo mkubwa wa kukojoa. Kwa wengine, kibofu ni tulivu zaidi, hivyo hata mkojo ukichelewa kidogo, hawaoni shida.
Mkusanyiko wa Mkojo (Residual Urine). Baada ya kukojoa, baadhi ya watu wanabaki na mkojo mwingi ndani ya kibofu, hali hii husababisha: hisia ya kutokumaliza, maumivu ya tumbo la chini, na haja ya kukojoa mara kwa mara. Hii inaweza kutokea hata kama uvimbe ni mdogo — mradi tu kizuizi kilichopo ni katika sehemu nyeti.
Maumivu makali ya mgongo yanaweza kusababishwa na maambukizi ya UTI kwenye figo. Ni rahisi kwa mtu mwenye uvimbe wa tezi dume kupata maambukizi ya UTI kwenye mrija wa mkojo (urethra), kibofu cha mkojo hadi kufikia kwenye figo zake ambayo hupelekea maumvu makali ya mgongo. Hii inaweza kupelekea figo kujaa maji na kushindwa kufanya kazi sawa sawa. Tezi dume inapovimba hadi kuzuia mkojo kutoka kwenye mrija wa mkojo, hali hii inazuia mkojo kutoka kwenye figo usije kwenye kibofu. Ndio maana, mkojo ukigoma kutoka, mgonjwa anatobolewa ili kutafuta njia haraka ya kutoa mkojo ili kunusuru figo zake.
Mtindo wa Maisha na Magonjwa Mengine. Mambo kama msongo wa mawazo, kisukari, uzito mkubwa, ukosefu wa maji mwilini, au matumizi ya pombe na sigara yanaweza kuongeza dalili kwa kufanya mrija wa mkojo ukaze zaidi au kibofu kuwa nyeti.
Ngoja tuangalie tafiti za kisayansi zinasema nini juu ya changamoto hii ya kuvimba kwa tezi dume
Watafiti na madaktari wengi wanakubaliana kwamba hakuna sababu moja kamili na ya moja kwa moja inayosababisha uvimbe wa tezi dume
Badala yake, uvimbe wa tezi dume ni matokeo ya mchanganyiko wa sababu mbalimbali zinazohusiana na umri, homoni, urithi, maradhi, na mtindo wa maisha
Tafiti nyingi za kitabibu zinasema kuvimba kwa tezi dume ni ugonjwa wa sababu nyingi (multifactorial disease).
Hakuna kitu kimoja kinachoweza kusemwa: “Hii ndiyo chanzo halisi.”Bali ni mchanganyiko wa mabadiliko ya mwili yanayotokea kwa muda.
Mfano:
Mwanaume anaweza kuwa na umri mkubwa lakini asipatwe na changamoto hii, wakati mwingine mdogo anaipata.
Hii inaonyesha si umri pekee bali mchanganyiko wa mambo.
Kuna nadharia ya hormone. Kadri mwanaume anavyozeeka, kiwango cha testosterone hupungua, lakini estrogen (homoni ya kike ambayo pia ipo kwa wanaume) hubaki kwa kiwango cha juu zaidi. Uwiano huu usio sawa unasababisha kuongezeka kwa DHT (Dihydrotestosterone). DHT huchochea ukuaji wa seli za tezi dume, hivyo kusababisha uvimbe. Hii ndiyo nadharia inayoungwa mkono na tafiti nyingi zaidi.
Urithi linasemekana kuwa kisababishi mojawapo. Baadhi ya wanaume wana vinasaba (genes) vinavyofanya seli za tezi dume zijizidishe haraka zaidi kuliko kawaida. Tafiti zinaonyesha wanaume wana historia ya familia (baba au kaka mwenye tatizo hili) wako kwenye hatari mara 4–6 zaidi kupata uvimbe wa tezi dume mapema.
Mtindo wa Maisha (Lifestyle & Inflammation)
Utafiti unaonyesha lishe isiyo bora, mafuta mengi, pombe, sigara, kutofanya mazoezi, kutokulala usingizi wa kutosha usiku (si chini ya masaa 7) na uvimbe wa ndani (chronic inflammation) mwili kutengeneza vimbe vimbe ni moja ya namna mwili kukuambia kwamba umeelemewa na sumu nyingi. Vyote hivi vinachochea ukuaji wa tezi dume.
Uzito Mkubwa. Mafuta mengi tumboni huongeza homoni fulani (insulin, leptin, estrogen) ambazo huchochea ukuaji wa seli za tezi dume. Uzito mkubwa unachochea hali ya mwili kutengeneza vimbe vimbe (chronic inflammation)
Kisukari (Diabetes Mellitus)
Sukari ya juu muda mrefu huharibu mishipa ya damu na neva, jambo linalopunguza uwezo wa tezi dume na kibofu kufanya kazi kwa kawaida.
Kisukari pia huchochea insulin resistance, ambayo huongeza ukuaji wa tishu za tezi dume.
Wagonjwa wa kisukari wako kwenye hatari zaidi ya kupata dalili kali za kukojoa usiku mara kwa mara.
Presha ya Damu (Hypertension)
Shinikizo la juu la damu huathiri mzunguko wa damu kwenye kibofu na tezi dume, na kusababisha mabadiliko ya tishu.
Utafiti unaonyesha wanaume wenye presha kubwa wana uwezekano mkubwa wa kupata dalili za uvimbe wa tezi dume kuliko wenye presha ya kawaida.
Presha mara nyingi huambatana na kisukari na uzito mkubwa – vinapotokea kwa pamoja, vinaongeza mara dufu hatari ya matatizo ya tezi dume.
Kila mwanaume ana mchanganyiko wake binafsi wa sababu....
Hakuna kipimo kimoja cha maabara kinachoweza kusema: “Hii ndiyo sababu ya uvimbe wako.”
Hivyo madaktari husema: “Chanzo halisi hakijulikani, lakini mambo haya yanachangia.”
Hitimisho la Kisayansi
Kuvimba kwa tezi dume si ugonjwa wa kuambukiza wala si matokeo ya kosa la mtu. Ni mchakato wa kawaida unaohusiana na umri, homoni, urithi, maradhi na mtindo wa maisha.
Ndiyo maana, njia bora ni kuudhibiti mapema kwa:
Lishe bora
Virutubisho vinavyodhibiti homoni na uchochezi
Kuepuka pombe na sigara
Kufanya mazoezi
Kulala si chini ya masaa 7 usiku
Kudhibiti uzito, kisukari na presha
Tuangalie Njia ambazo zimekuwa zikitumika kwaajili ya matibabu ya uvimbe tezi dume
Njia moja wapo ambayo imekuwa ikitumika ni dawa za hospitalini, bila shaka hata wewe utakuwa umeshuhudia kwamba dawa hizi zinapunguza makali tu, bila kumaliza tatizo, kwahiyo unajikuta ni mtumwa wa kutumia dawa hizo kila siku na kibaya zaidi dawa hizo zina kemikali nyingi, kwahiyo kadri unavyozidi kutumia kwa muda mrefu unajaza sumu nyingi mwilini mwako.
Suluhisho lingine kubwa ambalo limetumika na wengi ni la kuondoa uvimbe wa tezi dume kwa njia ya upasuaji.
Ukifanyiwa upasuaji uvimbe unatoka lakini baada ya muda kuna uwezekano mkubwa wa uvimbe kurudi tena. Naamini hata wewe msomaji, hili umelishuhudia kama si wewe mwenyewe, basi mtu unayefahamiana nae.
Si hivyo tu…
Upasuaji huu unaweza kupelekea tatizo la nguvu za kiume au ugumba au hata kufikia kifo.
Hivyo basi utakubaliana na mimi upasuaji sio njia salama na ya kudumu ya kutokomeza uvimbe usiweze kujirudia tena
Ni ngumu kutatua changamoto ya kiafya pasipo kujua visababishi hasa ni vipi.
Forever living products wamegundua kwamba ugonjwa ni mmoja tu.
Hamna magonjwa mengi kama ambavyo tumekuwa tukifahamu siku zote kwamba kuna magonjwa ya kisukari, presha, vidonda vya tumbo, matatizo ya moyo, tezi dume,uzito n.k
Utaelewa pia hata uzee ni ugonjwa.
Ugonjwa ni mmoja tu isipokua unakuja katika sura tofauti tofauti.
Na ugonjwa huu ni seli za mwili kushindwa kufanya kazi sawa sawa.
Seli za mwili kushindwa kufanya kazi zake sawa sawa kunasababishwa na mambo mawili:-
Sumu kujaa mwilini
Upungufu wa virutubisho mwilini
Chochote unachokiahangaikia kwenye afya yako leo hii utakipata kwenye haya mambo mawili.
…kazi ya sumu ni kufanya uharibifu kwenye mwili wako…kuvuruga utaratibu…kuvuruga mambo….
Kikawaida mwili tayari umeumbiwa njia za kiasili za kuweza kujisafisha kuondoa sumu. Lakini kutokana na mabadiliko mengi yaliyopo katika maisha ya leo. Mwili huelemewa na jukumu hili.
Na sumu huanza kujirundika mwilini.
Seli zitaanza kuonesha tabia tofauti na kawaida. Nyingine zitazalishwa nyingi kupitiliza, nyingine zitaharibiwa na sumu hizi, nyingine zitavimba (inflammation), nyingine zitashindwa kufanya kazi zake inavyotakiwa n.k
Hayupo anayeweza kuepuka sumu ndio maana leo hii changamoto za kiafya zimekithiri kila kona.
Sumu hizi tunazipata kwenye hewa tunayovuta, vinywaji tunavyotumia, mwili wenyewe unatengeneza sumu kutokana na shughuli zake za kila siku, bidhaa za usafi wa mwili, dawa za hospitali, vyakula tunavyokula vingi vimelimwa kwa kutumia madawa na kemikali nyingi…
Leo hii watu wanashauriwa kula nyama kwa wingi.....
Kama ni nyama ya ngómbe swali la kujiuliza je huyo ngómbe amelishwa majani au amelishwa nini?
Matokeo yake mwili unaanza kuvimba vimba kila sehemu kutokana mrundikano huu wa sumu. Wanaume wanavimba tezi dume na wanawake wanapata vimbe kwenye vizazi (fibroids)
Mpaka sasa utakuwa umegundua sumu ni adui yako mkubwa….
Unapousafisha mwili maana yake unautengenezea mwili mazingira ya kushamiri vizuri katika utendaji wake wa kazi.
Hali kadhalika unapoujaza mwili na virutubisho…..zingatia neno KUUJAZA…
Kujaza sio kuonja, kujaza sio ku-test bali ni kutosheleza mahitaji yote ya msingi.
Ni ngumu kupata mahitaji yote ya msingi kupitia chakula peke yake.
Hii ni kutokana na:-
Upishi-vyakula vingi vinapikwa muda mrefu (Mfano wengi hatuwezi kula mboga mbichi)
Vyakula vingi vimekobolewa ambayo inasababisha upungufu wa virutubisho flani mwilini
Vyakula vingi siku hizi vinalimwa haraka haraka kwa kutumia madawa. Vinakosa muda wa kutosha wa kukaa ardhini kunyonya virutubisho.
Mwili unashindwa kunyonya virutubisho vya kwenye chakula kutokana na mrundikano wa sumu mwilini n.k
Ni vyema kuangalia tatizo kwa mapana yake. Changamoto hii haitokani na uchochezi wa hormone peke yake kama ambavyo imekuwa ikisemwa….
Ni vyema kuzingatia visababishi vingine kama nilivyovielezea hapo awali...
Na kupata program yenye uwezo wa kumaliza changamoto.
Hii ni kwasababu…ili tezi dume liweze kufanya kazi yake sawa sawa linategemea pia kila mfumo uweze kufanya kazi zake inavyotakiwa.
Hii ni kawaida kwa mifumo ya mwili kutegemeana katika utendaji wake.
Ni kama gari. Ili gari itembee haihitaji engine pekee ifanye kazi, matairi yanahitaji upepo n.k
Utakubaliana na mimi namna bora ya kuondokana na uvimbe huu wa tezi dume ni ku-deal na system nzima ya mwili (Holistically) na si kuusaidia mwili kwa sehemu tu
Forever Living Products wameandaa package kwaajili ya:-
Kudhibiti ukuaji
Kuyeyusha uvimbe
Kuirejesha tezi dume yako katika hali yake ya kawaida
Kudhibiti uzito, Kisukari na Presha ya damu
Haya yote yanawezekana pasipo kupata madhara yoyote.
Virutubisho hivi vinapatikana kwa mfumo wa package yenye mchanganyiko wa virutubisho tofauti tofauti inaitwa ''Men’s Vitality"
Usalama wa afya ya mtumiaji umezingatiwa kwenye maandalizi ya virutubisho hivi.
Bila shaka utakuwa unajiuliza juu ya usalama wa virutubisho hivi hasa kwenye utunzwaji wake na namna vinavyoweza kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika.
Sasa kwenye swala la teknolojia kwenye utengenezwaji wa bidhaa kuna viambato vyenye kemikali (chemical preservatives) na viambato asilia (natural preservatives).
Viambato asilia hufanya bidhaa kuwa gharama ya juu kidogo..
Kampuni ya Forever Living Products wanatumia presarvatives za asili kwaajili ya kutunza bidhaa zake. Ndio maana imepata muhuri wa “Certified Organic’’ Hii inamaanisha bidhaa zetu ni za asili kabisa, bila viambato vyenye kemikali.
Ni kampuni chache zinazoweza kufanya hivi....
Kwahivyo, wasi wasi wako wa kupata madhara yoyote baada ya kutumia virutubisho hivi weka pembeni kabisa. Virutubisho hivi ni salama kwa afya ya mwili wako.
Virutubisho hivi vinapatikana zaidi ya inchi 150 duniani, zikiwemo nchi ya Kiyahudi na Kiislamu.
Kama nchi za Kiyahudi na Kiislamu zenye sheria kali zimeweza kuruhusu bidhaa hizi kuingizwa nchini mwao basi hata wewe unaweza kuziamini pia.
Virutubisho hivi vimethibitishwa na mamlaka za chakula na dawa (FDA) duniani na TMDA kwa hapa Tanzania
Utakapoanza kutumia virutubisho hivi siku hadi siku….wiki hadi wiki…
Uvimbe utaanza kupungua hadi kuisha kabisa.
Utaanza kupata mkojo bila maumivu yoyote. Hali ya kukojoa kila baada ya muda mfupi itaondoka kabisa.
Usiku utaweza kulala kwa amani bila usumbufu wa kuamka ovyo kwenda kukojoa.
Kiufupi baada ya kutumia virutubisho hivi changamoto na karaha zote zitokanazo na uvimbe wa tezi dume yako zitaisha kabisa.
Mfumo wako wa mkojo utarudi kuwa kama wa kijana wa miaka 25.
Hofu ya uvimbe kujirudia au uwezekano wa kupata saratani itaisha.
Kama una uzito mkubwa utaweza kuudhibiti.
Kama una tatizo la kisukari na presha utaweza kuzidhibiti vizuri kabisa.
Afya yako nzima kwa ujumla itabadilika. Utajisikia kijana, mwenye nguvu mpya kila unapoamka asubuhi.
Najua unajiuliza vipi kama sina changamoto ya uzito au kisukari au presha?
Haina tatizo kabisa. Tumia package nzima. Hii itasababisha matokeo kuja kwa uharaka zaidi. Itasaidia kupambana na dalili za changamato nyingine ambazo hukuwa unafahamu kama unazo, kwasababu hadi ugonjwa umeonekana kwenye vipimo vya hospitali maana yake ni kwamba umeshakuwa mkubwa. Vipimo vingi vya hospitali vinashindwa kugundua dalili za awali za ugonjwa fulani.
Miili yetu inahitaji msaada kuliko tunavyodhani. Hivyo basi kwa kuupatia mwili proram ya virutubisho vinavyotosha. Unajiweka kwenye mazingira ya kuibadilisha afya yako kwa uharaka na ufanisi mkubwa.
Hizi ni shuhuda chache kati ya nyingine nyingi ambazo wahusika waliruhusu ziwekwe mtandaoni ili wengine wafahamu kuhusu program hii.
“Hospitali walikuwa wameanza kuzungumzia upasuaji. Tezi ilikuwa imenipa shida, na maumivu yalikuwa kila sehemu. Nilianza kutumia bidhaa hizi nikijua ni safari. Leo hii, najisikia kama kijana wa miaka 18. Maumivu yameondoka, na sinahofu kuhusu upasuaji tena. Naendelea na dozi yangu kwa nidhamu kama niliyopewa, na matokeo ni dhahiri.”
Joel Kitundu, 59 kutoka Singida
“Unajua baada ya kuambiwa nina tezi dume iliyovimba nikaamua kwenda kufanyiwa upasuaji kwa hofu. Baada ya kufanyiwa operesheni, nilitegemea nitapona moja kwa moja. Ukweli ni kwamba matatizo hayakuisha....bado nilikojoa kwa shida na nilikuwa nakosa nguvu, macho kama yalikua hayaoni
Mjukuu wangu aliniletea kirutubisho hiki cha Forever. Sikuamini haraka, lakini nilikubali. Nilianza polepole na gel ile, mafut samak na Vatolize. Wiki ya pili nikaanza kuona mabadiliko. Kukojoa mara kwa mara kuliisha. Sasa kila asubuhi nafanya matembezi ya kilomita mbili, bila kupumua sana. Siwezi kulala bila kutumia dawa hizi. Naziona kama zawadi baada ya maumivu ya upasuaji.”
Khalfan Abdallah, 63 kutoka Dar es salaam
"Maisha yangu yalikuwa mateso sanaa usiku. nlikua naamka amka kukojoa, ilininyima usingzi sana, na nikawa na hasira na kugombana na mama yako kila wakati. Nilipoanza kutumia Pollen ile, Nature-Min na vitu vingine.. huku nikifuata mpangilio wa vyakula vya kundi O kama unavyoelekeza kwenye kitabu, aisee kila kitabu ni msaada mkubwa sanaaa. Ni sawa na kutuambiwa ushindwe wewe...niliacha kunywa maziwa, nikatumia zaidi samaki na mboga, nikaanza kuona mabadiliko. Kitabu cha tiba ya usingizi kimenisaidia kupata uelewa wa mambo leo ninalala kama mtoto mdogo hadi alfajiri. Mbarikiwe sana"
Fredrick Kimario, 71 kutoka Dar es salaam
"Niligundulika na tezi dume mwaka jana na nilipimwa kiwango kikawa 4.5 ng/ml. Nilishauriwa kufanyiwa upasuaji. Niliomba muda. Nikaanza kutumia Vitolize, Aloe Vera, Arctic Sea na Forever Daily. Nilifuata mpangilio wa vyakula kwa kundi B+ . Nimeacha nyama nyekundu, nikakula mayai na samaki mara kwa mara. Mwezi wa tano nikapima tena, kiwango kilishuka hadi 1.03. Daktari alishtuka, akawa anaangalia majibu mara mbili mbili na kuniuliza umetumia nn nikamueleza…akanishaur niendelea na nachofanya, maana mwili wangu unarudi kwenye mstari. Hizi bidhaa zenu unaweza kuona gharama kubwa lakini ni uwekezaji tosha. Najipanga kuwa nachukua kidogo kidogo mara kwa mara. Asante sana Doctor"
Mr. Shewiyo,52 kutoka Dar es salaam
"Nimeishi na kisukari kwa zaidi ya miaka 15. Ilifika hatua miguu ilianza kuwa na ganzi na maumivu ya kuchoma. Dawa zenu zimenisaidia. Pia nilifuatilia mlo wangu kwa kundi B+ (niliondoa kabisa sukari, nikatumia nafaka kamili na mboga nyingi zenye fiber). Baada ya miezi miwili, miguu yangu haichomi tena, sukari iko stable bila vidonge vya sukari kila siku, na nguvu mwilini imerejea. Naendelea na mazoezi mepesi kila asubuhi. Nitakutumia namba ya rafiki yangu umsaidie kumwelekeza”
Emmanuel Msechu, 60 kutoka Mwanza
''Shahawa zangu zilikua zinatoka na damu, baada ya kutumia program hii kwa mwezi mmoja hiyo hali imepotea yenyewe na huu mwezi wa 5 tangu nitumie ile package ya kwanza. Nilikua na wasi wasi huenda ni kansa lakini sasa wasi wasi wangu umepungua. Nitafanya vipimo nitarudi kwako''
Yasser Mohamed, 50 kutoka Zanzibar
''nimepokea package yangu nikaanza kinywa hapo hapo kabla sijafika nyumbani…
Siku ya pili nikaamka kama siumwi vile
Nikashinda mpk kesho yake napo nikawa sawa sasa tareh 18 nimerudi hospital kucheki juzi naambiwa imeshuka mpk 0.86 toka 2.369…
Na maumivu sina kabisa naendelea kumalizia package yangu kwa imani na mazoezi naendelea nayo lkn pia nimefuata utaratibu wa kubalance chakula na hata pombe nimepumzika ni mwendo wa mazoezi na kulala
Asante sana kwa ushauri na tiba lishe”
Rashid Ally, 65 kutoka Kigoma
Dozi ya uhakika ya siku 90 kuyeyusha uvimbe hadi kuisha kabisa!
Men’s Vitality ni package maalum ya siku 90 inayolenga kushughulikia tatizo hili moja kwa moja, kwa kutumia virutubisho lishe vya asili vilivyochunguzwa na kuthibitishwa na kampuni kubwa ya kimataifa – Forever Living Products.
DOZI KAMILI: SIKU 90
Dozi hii inafanya kazi hatua kwa hatua kuyeyusha uvimbe hadi kuisha kabisa. Ikitumika kwa usahihi, unaweza kuanza kuona mabadiliko kabla ya siku 90 kuisha.
Lakini hata kama utapona mapema...
Tunasihi umalize dozi yote.
Hii huzuia uvimbe kurudi tena na kuhakikisha mwili wako unapata matokeo ya kudumu.
Matumizi ni rahisi:
Asubuhi na Jioni
Maelekezo ya ziada utapewa kulingana na hali yako kiafya unapoanza kutumia na kadri unavyoendelea na matumizi.
KAMA UNATUMIA DAWA NYINGINE?
Usiache ghafla. Endelea nazo kwa angalau wiki mbili wakati unapoanza kutumia Men’s Vitality package. Nitakushauri hatua kwa hatua kulingana na mwitikio wa mwili wako.
Usiwe na hofu:
Virutubisho lishe havisababishi madhara hata ukivitumia pamoja na dawa za hospitali. Hivi siyo dawa – ni virutubisho vya chakula.
MEN'S VITALITY PACKAGE INAGHARIMU KIASI GANI?
BADALA YA KUKWAMBIA BEI, NAKUULIZA...
Ni kiasi gani unajipangia kulipa kwa program ambayo:
Itayeyusha uvimbe wa tezi dume hadi kuisha kabisa?
Itakupa kinga dhidi ya uvimbe mwingine kutokea tena
Itakusaidia kuwa na uzito salama na presha iliyotulia?
Itabadilisha afya yako kwa ujumla-si kuyeyusha uvimbe wa tezi dume pekee?
Itakurudisha ujanani na kukuonyesha njia ya kuanza maisha mapya?
BEI KAMILI YA DOZI YA MIEZI 3: 2,460,000/=
Lakini kwa sababu maalum leo…
OFA KUBWA: 1,500,000/= TU!
Ndiyo – punguzo la zaidi ya 900,000/=
Kwa nini?
Kwa sababu nategemea wewe utapona – na ukiisha pona, utakuwa balozi wangu mkubwa.
Wengi waliotumia Men’s Vitality Package wamerudi kuniletea watu wengine. Kwa hiyo, nafuu yako ni ushindi kwa wote.
HUNA 1,500,000/= SASA HIVI? SIO TATIZO.
Unaweza kuanza hivi:
🔹 Mwezi mmoja – 500,000/=
🔹 Nusu ya mwezi – 250,000/=
(Baada ya wiki mbili, utamalizia nyingine ya 250,000/= ili mwezi wako wa kwanza ukamilike)
Utakapoanza leo utaendelea kuwepo kwenye offer hii ya punguzo la bei kwa siku 90 zijazo
UNAPOCHUKUA OFA HII LEO, INAAMBATANA NA BONUS ZIFUATAZO:
1. Miongozo ya chakula sahihi pamoja na mazoezi yatakayosaidia kuzuia uvimbe wa tezi dume usiendelee kukua na usijirudie tena - thamani TZS 75,000/=
2. Ushauri binafsi na ufuatiliaji wa kila wiki (Private Support) - thamani TZS 20,000/=
Huduma hizi mbili utazipata bureeee....
HII NI PROGRAMU YA KUBADILISHA MAISHA
Sio tu tiba ya tatizo lako – ni mwanzo wa maisha mapya. Afya yako inastahili hii nafasi. Na kwa punguzo hili, hakuna sababu ya kusubiri.
AANZA SAFARI YAKO YA UPONYAJI LEO
📲 Wasiliana nami sasa hivi kupata dozi yako ya kwanza.
Usikubali uvimbe wa tezi dume uendelee kukunyima raha ya maisha.
Angalizo:
Kama hauko tayari kuacha pombe program hii haitakufaa.
Kama hauko tayari kuacha kuvuta sigara program hii haitakufaa.
Kama hauko tayari kubadili mtindo wako wa maisha wa namna unavyokula, mazoezi na kulala program hii haitakufaa.
Tafadhali usipoteze pesa yako kama hauko tayari kufanya mabadiliko haya kwenye maisha yako
Offer hii si ya kudumu na ukichelewa utaikosa.
Ofa ya 1,500,000/= badala ya 2,460,000/= haipo kila siku. Ni punguzo la muda maalum.
Zimetengwa package chache kwaajili ya offer hii ya miezi mitatu mitatu. Kuwahi ndio kupata
Kwa maana hiyo tunategemea kuwaongoza watu wachache kwa wakati mmoja
Pengine umetumia dawa za aina mbalimbali lakini hazijakusaidia kumaliza tatizo lako. Zaidi umeishia kupoteza pesa zako bure na unaogopa kuzidi kupoteza. Naelewa unavyojisikia lakini kukuhakikishia kwamba "Men’s Vitality Package" itakusaidia kuondokana na tatizo lako na likaisha kabisa, package hii ina dhamana (Guarantee) ya siku 90.
Dhamana hii iko hivii...
Baada ya mwezi wa kwanza wa matumizi ya Men's Vitality package tutakufuatilia kujua maendeleo yako, mwezi wa pili halikadhalika pamoja na mwezi wa tatu. Ikitokea umezingatia maelekezo yote kikamilifu na Men’s Vitality package haijakupatia matokeo yote niliyoyasema hapo juu piga simu 0713 418 475 kutoa taarifa na utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.
MASWALI NA MAJIBU (FAQ's)
1. Je, kuna uwezekano wa kubadilisha tatizo linalotokana na urithi (genetics) kama hili la uvimbe wa tezi dume?
“Ni kweli — urithi unaweza kuongeza hatari ya kupata uvimbe wa tezi dume, lakini hauamui hatima yako.
Genes zinatoa uwezekano, siyo hukumu.
Epigenetics inaonyesha kuwa mtindo wako wa maisha — kama lishe, mazoezi, usingizi, kudhibiti msongo, na kutumia virutubisho — unaweza kuzima au kuwasha genes hizo.
2. Virutubisho hivi vinaweza kumsaidia mtu mwenye kansa ya tezi dume?
Siwezi kusema moja kwa moja kwamba virutubisho hivi vinatibu kansa ya tezi dume, kwa sababu hilo ni jambo linalohitaji uangalizi wa kitabibu.
Lakini ukweli ni kwamba virutubisho hivi vinaweza kusaidia sana mwili wako kupambana na mazingira yanayochochea kansa — kwa kurekebisha kinga, kupunguza uvimbe (inflammation), kusafisha mwili, na kusaidia seli zako kufanya kazi kwa usahihi.
Tatua changamoto ya tezi dume kuvimba kabla haijashindika kabisa
3. Nitatakiwa kuendelea kununua virutubisho tena baada ya kukamilisha dozi hii ya miezi 3?
Virutubisho havifanyi kazi kama dawa, bali kama chakula cha seli ambacho hujenga na kurekebisha mfumo wa mwili hatua kwa hatua.
Matumizi ya virutubisho kwa miezi mitatu ya mwanzo ni kwaajili ya kusababisha uponyaji utokee (healing process). Baada ya kumaliza matumizi ya virutubisho kwa miezi mitatu ya mwanzo hatua inayofuata ni ku-maintain afya uliyoitengeneza. Mara nyingi unaweza kutumia mchanganyiko mdogo wa virutubisho.
Virutubisho sio dawa ya muda mfupi, ni mtindo wa maisha unaosaidia mwili wako kuendelea kuwa kwenye usawa wa kiafya.
4. Je, nguvu zangu za kiume zitarudi?
Ndiyo, nguvu za kiume zinaweza kurudi, lakini hutegemea hali ya mwili wako kwa ujumla. Virutubisho havijengi nguvu kwa siku moja, bali vinafanya mwili wako urudi kwenye hali yake ya asili ya uimara hatua kwa hatua.
Unachotakiwa kufanya kwa sasa angalia mpangilio wa dozi hapa chini kisha jaza fomu ili kutuma oda ya dozi utakayoanza nayo.
Dozi ya Nusu mwezi 410,000 250,000/=
Dozi ya mwezi mmoja 820,000 500,000/=
Dozi ya miezi miwili 1,640,000 1,000,000/=
Dozi ya miezi mitatu 2,460,000 1,500,000/=
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya MIXX BY YAS au CRDB Bank au NMB Bank
Namba ya Mixx by Yas ni 0713 418 475 jina ni LILIAN NAZARI CHAMI
Namba ya Account ya CRDB ni 0152677688400 jina ni LILIAN NAZARI CHAMI
Namba ya Account ya NMB ni 51010028275 jina ni LILIAN NAZARI CHAMI
Kwa mtu wa Dar es Salaam hutakiwi kutuma hela kwasababu utaletewa mpaka ulipo bure halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.
Kwa wa mkoani unalipia pesa yote ya dozi utakayokuwa umechagua kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu halafu unaongezea na 10,000/= kama gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya bus au Boat kuja mkoani ulipo ndipo unatumiwa mzigo wako.
Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda ya dozi uliyoichagua halafu baada ya hapo kama upo Dar es salaam unasubiri kuletewa siku uliyochagua na...
Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya dozi na gharama ya kusafirisha halafu baada ya hapo mzigo wako unatumwa mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat (wale wa zanzibar)
Kujaza fomu ni rahisi.
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “ODA YANGU”. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma oda yako (Taarifa zako zitatunzwa kwa siri, hadi wewe utakaporuhusu zitumike mtandaoni kama shuhuda kwa wengine)
Bonyeza sehemu hii sasa hivi.
Ahsante kwa muda wako.
Ni mimi,
Lilian Chami!
Mshauri Maswala ya Afya
>>>0713418475<<<
P.S: Kama nilivyokwambia zipo oda za watu wachache tu kwa sasa.
Saa iliyopo hapo juu itakaposoma sifuri maana yake oda zote zimechukuliwa na tangazo hili hautoliona tena mpaka pale tutakapotangaza offer mpya tena.
Kwahiyo, usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako. Tuma oda yako mapema.
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.